Kitambulisho Cha NIDA Kutumika Kama Dhamana Mahakamani


Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma ametoa maagizo kwa mahakimu kurahisisha masharti ya dhamana kwa Watanzania kujidhamini kwa kutumia Kitambulisho cha Taifa (NIDA) katika mfumo wa haki jinai badala ya kutegemea watu wengine.

"Mtu anapojidhamini kwa kutumia kitambulisho cha Taifa anakuwa ameacha uraia wake mahakamani, hivyo hawezi kwenda popote bila kitambulisho hicho na kwamba inakuwa rahisi kumpata endapo atatoroka,” amesema Jaji Mkuu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad