Kumbe Harmonize Sio Longo Longo...Aonesha Kadi ya Gari Yenye Jina la Kajala Masanja


Staa wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize ameonesha kadi ya gari ambalo amemnunulia aliyekuwa mpenzi wake Kajala

Harmonize ameonesha kadi inayosoma majina ya Kajala na kuwasihi wanaowanunulia magari wanawake zao kuwapa kwanza kadi sio funguo za magari kama kweli wanamaanisha kutoa zawadi hizo kwa wapenzo wao

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad