Kumekucha..Chawa Maarufu Mjini Mwijaku Amenunuliwa Zawadi ya Gari na Mkewe


Mke wa Mwijaku anayejiita @aliciousm huko Instagram amepost kwenye mtandao wake wa instagram gari aina ya Toyota Alphard na kusema ni zawadi ambayo amemnunulia mumewe


“Thats for you my husband , Pokea kidogo nilicho jaaliwa na hongera kwa kujituma na uzalendo kwa nchi yako . I love you @mwijaku” Mwisho wa kunukuu.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad