Kutana na Mrembo Aliyesumbua Wanaume Miaka Hiyo Mpaka Wengine Kujiua Kwa Kumkosa, Wema Sepetu wa Miaka Hiyo huyu


Pichani Ni "Princes Qujar", Huyu Alikuwa Ni Mtoto Wa Mfalme Wa "PERSIAN" Miaka Ya 1900s Princes Qujar Aliwapa Tabu Sana Wanaume KwaSababu Alionekana Kuwa Ndiye Mwanamke Mrembo Zaidi, Ambapo Mamia Ya Wanaume Waliomfuata Aliwakataa Na Zaidi Ya Wanaume "13" Walijiua Kwa Kukosa Penzi Lake Baada Ya Kukataliwa  

Kwa hapa Bongo labda tunaweza mfananisha na Wema Sepetu enzi zake bado yupo moto chini


Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nimecheka hakika,sema ulitaka tu kumsakama Sepetu wa watu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣13 kujiua kwa hicho kipipa 😁😁😁😁😁😁😁.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad