Lemutuz "Mwanaume wa Shoka Unampiga Risasi Mke Wako Unamuua Halafu Unasimama"
0
May 30, 2022
Lemutuz "SUPER COWARD! Mwanaume wa Shoka UNAMPIGA RISASI MKE WAKO UNAMUUA HALAFU UNASIMAMA ILI tuone Ushujaa wako .....CAUSE KUNA WAPUMBAVU WENGI SANA HUMU INSTA. MNAOJARIBU KUHALALISHA UPUMBAVU WA HUYU COWARD .....sasa anakimbia nini na yeye anajua alichofanya ni sawa sawa? ...Si angewasubiri Polisi tu awaambie ....YEYE NI MWANAUME KAUA KWA SABABU MWANAMKE KAMKOSEA NA hata ikibidi ATAUA TENA .....linakimbia a COWARD kumbe linajua kuwa ni LIPUMBAVU na nasikia Jela wanawapenda sana Wanaume kama huyu Walio onea Wanawake na Watoto ....KUMBE LINAJUA KWAMBA JELA ATAISHIA KUWA MKE WA MTU LIMEKIMBIA! PUMBAVU SANA KAMA WALE WOTE WANAOTETEA UJINGA ALIOUFANYA .....Ninawaamini Polisi kwamba watamkamata aende akaolewe Jela Pumbavu sana! - @lemutuz_superbrand
Tags