Licha ya Kupigwa Kibao Live Oscar Kumrudisha Tena Chris Rock Jukwaani 2023


Televisheni ya ABC imepanga kumrudisha tena Jukwaani Mchekeshaji Chris Rock kama mshereheshaji kwenye Tuzo za Oscars mwaka 2023. Rais wa masuala ya Entertainment kwenye Televisheni hiyo Craig Erwich ameiambia tovuti ya Deadline kwamba Tuzo hizo za 95 zitakuwa bora kuliko za mwaka huu.

Aidha amesema licha ya kibao ambacho mchekeshaji Chris Rock alichapwa na Will Smith LIVE Jukwaani na kuleta stori nyingine, lakini show hiyo ilikuwa yenye mafanikio makubwa sana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad