Muna Love Atoa Mpya Baada ya Kuzushiwa Kifo "Mimi Sinta Kufa Nitaenda Kupumzika"


Anaandika @munalove100 Kupitia Ukurasa wake Wa Instagram Baada Ya Taarifa Za Kuzushiwa Kifo


"Mimi sitakufa Bali nitaishi ili kutangaza ukuu wa Bwana nikimaliza kazi basi ntaenda kupumzika. Ila kwa sasa bado nipo sanaa tu mintakufa nikiwa mzee sana

Na nyie mnaoniombea hili Mungu awabariki na kuwapa maisha marefu 😭😭 nimetumiwa sasahivi nimebaki Sina lakuwaambia ila Mungu atashughulika na nyinyi 😭🙏🙏🙏

Atakama unipendi ndo uniuwe nikiwa hai ? 🥲🙏 Izo Yotube ni sehemu za kuumiza wenzenu?🥲" - Muna Love


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad