🍁Si unaelewa tabia za mganga? Unaweza kwenda kwa mganga kumroga mtu na ukafanikiwa huyo mtu akaenda kwa mganga huyo huyo kutibiwa😂😂 Mganga yeye anaangalia malipo tu
🍁Ndivyo ilivyo kwa Mwijaku, jamaa anakula kote kote, ana siri za pande zote na wote anaishi nao vizuri tu
🍁Akiwa Kondegang anaambiwa tumchafue Diamond na kweli anatoa kashfa kibao mitandaoni
🍁Akiwa kwa Diamond wanavibe kama ukoo wa mzee nyange, ni mwendo wa kusifia Boss tu
🍁Akiwa kwa kiba anapewa kibarua cha kutangaza kiba ndiye King na Top wa Bongofleva, vivo hivyo anafanya😂😂
🍁Huyu ndio mwijaku, hakuna hela anaiacha
UNAHISI MWIJAKU ANAINGIZA PESA NGAPI KWA SIKU?
Msumbufu