Ukweli Mchungu Sana KOCHA Pablo Adai Simba Mbele ya Timu Kubwa Ina Shida


“Tumecheza na Yanga mechi zote mbili tumeshindwa kufunga bao, tumecheza na Berkane ugenini hatukufunga na tukaja hapa tukafunga moja tu, tumecheza na Pirates mechi mbili na tumefunga bao moja tu, hii ina maana kuwa bado tunashindwa kufanya vizuri dhidi ya timu KUBWA” Pablo Franco, Kocha wa Simba

Kocha anasema dhidi ya timu kubwa basi Simba ina shida, ukweli mchungu sana  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad