Web

Zuchu Afikisha Watazamaji Milioni 72

Top Post Ad



Video ya sukari ya msanii Zuchu imefikisha zaidi ya watazamaji milioni 72 katika mtandao wa youtube kwa mwaka mmoja na Miezi mitatu.

Zuchu anakuwa msanii wa kwanza wa Tanzania (solo) kufikisha jumla ya watazamaji hao na video hiyo ilitolewa Mwezi Januari 2021.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.