Baa yawaka Moto Buguruni


Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza baa ya Mirambo iliyopo eneo la Buguruni wilayani Ilala jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo, wamesema moto huo ulianza majira ya saa tano kasoro asubuhi, na bado hawajajua thamani halisi ya mali zilizoteketea

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad