Barbara Afunguka "Ukubwa wa Club sio Usajili"


Barbara Gonzalez CEO wa klabu ya Simba akizungumza na waandishi wa habari leo katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam amesema “ukubwa klabu sio tu kwenye usajili ukubwa wa klabu ni kukua kwa uchumi, wadhamini wakiongezeka na miundombinu inaongezeka.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad