Shaffih Dauda Awashangaa Yanga Kumwacha Saido "Timu Bora Inapaswa Kulinda Nyota Wake"



DIGALA nimeamka ghafla sana kutoka Usingizi  kuna sauti inaniuliza 

“Timu bora na inayotaka kufanya vizuri kimataifa kwanza inapaswa kulinda nyota wake wote bora kikosini, kisha iongeze wengine bora ili wakafanye vyema Afrika, kwa uzoefu na ubora wa Saidi ilishindikana kumpa mkataba wa miaka miwili?”

Nimeifikisha kwenu ndoto, tujadiliane ni rahisi kupata talent kama ya Saidi sokoni? Vipi kuhusu ubora na uzoefu wake?


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad