Burna Boy Aichunia DM ya Offset Instagram, Offset Aamua Kumwendea Kwenye Comments


Rapa @offsetyrn ameona isiwe kesi baada ya DM zake kama kukaushiwa na @burnaboygram na kuamua kutiririka kwenye uwanja wa comments kwenye moja ya post ya African Giant akimtaka staa huyo toka Nigeria aangalie DM yake.


Ni staa gani wa Bongo angepata comment ya dizain hiyo, Social networks zingechafuka?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad