Diamond Diamond "Namshukuru Diamond Platnum Hajasema Mengine"


Msemaji wa Yanga SC, Haji Manara, amesema msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz anajua changamoto alizopitia na anamshukuru kwa kujizuia kusema.

Manara amesema hayo Juni 16, 2022 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar Es Salaamu.

"Diamond kama rafiki yangu anajua changamoto ambazo mimi nimezipitia nilipokua kule.

"Tunaongea muda mrefu na amejizuia kusema kama alivyoandika mwenyewe amejizuia kusema.

"Lakini anayeyajua yeye kama alivyowaambia na nimeshukuru kwamba hajasema mengine haya tunamwachia Mwenyezi Mungu.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad