Amesema mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w
"Usingizi wa mtu Alie-ndani ya ndoa ni Afadhali mbele ya Mungu kuliko ibada afanyazo mtu asiyeoa Usiku kucha na anayefunga saumu nyakati za mchana"
Hii ni miongoni mwa hadithi zinazonifanya kuendelea kuona umuhimu wa ndoa katika maisha ya kila mwanadamu. Kama wewe ni mwanamke kama mimi I am here to tell you, heshimu ndoa yako sababu Mungu yupo katikati yenu baina yako na mume wako. Na kama bado hujaolewa your time is near.
Goodnight my people!!!