Faiza Ally Achutama na Kuridi Nyuma Vitani na Kusema "Mtu na Mume Wake Mmeshinda Nimegundua Mnanitumia Mimi na Mtoto Ninyi Kutrend"


Faiza Ally karudi Nyuma Vitani na kuandika haya :

Mimi na mwanangu tumejua kutumika . tena tumetumika vizuri sana sana yaani baba na mama hawaendi bila sisi wawili . Nilichugundua ni kwamba tumepewa kitu kikubwa sana na Mungu Ndani Yetu Yaani kweli dunia imegeuka mwanzo nilizani ni ujeuri wa mama wa kambo lkn nimegundua Joseph nae amechukua Kama ride . Mungu Wangu naomba subra . Uvumilivu akili Busara hili lipite Kama kishinda mtu na Mume wake mmeshinda . Najua bila sisi hamtrendi na ndio maana mmenibonyeza sehemu ambayo lazima ntashtuka Alhamdulillah for everything 🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Hili pia litapita .

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad