Idris Sultan Aguswa na Sakata la Faiza Ally na Mke wa Sugu


Idris Sultan Aguswa na Sakata la Faiza Ally na Mke wa Sugu Afunguka Haya Kwa uchache:

Nimekuzwa na mama pekee, Imam Sultan na mama waliachana nikiwa na miaka 9. Kati ya vitu nimepambana sana ni kuhakikisha nakuwa na mahusiano nao wote wawili bila kuathirika na tofauti zao. Ni Mungu tu ameniwezesha maana sumu nilikuwa nalishwa haswa. Walindeni hawa watoto tafadhali

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad