Kutana na Mwanamke Anayekunywa MKOJO Wake Ili Kutunza Ngozi yake


Imeripotiwa kuwa Mwanamke aitwae Ruby Karyo mwenye umri wa miaka 30 kutoka nchini marekani atoa Siri ya uzuri wa ngozi yake kuwa anakunywa mkojo wake wa asubuhi kila siku na kujipaka mwili mzima.

Ameongezea Kuwa tangu ana umri wa miaka 19 aliambiwa na baba yake mzazi anywe mkojo wake na kujipaka kila siku kabla ya kulala kwa ajili ya kuwa na ngozi nyororo.
WE UNAWEZA KUNYWA MKOJO WAKO ILI UWE NA NGOZI NYORORO?? 😷😷😂😂🏃🏃

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad