MOSHI: Lengai Ole Sabaya na Wenzake 4 Wamesomewa Mashtaka Haya Saba


MOSHI: Lengai Ole Sabaya na wenzake 4 wamesomewa mashtaka 7 ikiwemo kuendesha genge la uhalifu, kupokea rushwa, utakatishaji wa fedha na ukiukwaji wa mamlaka ya utumishi.

Inadaiwa alikiuka majukumu yake na kujipatia TZS milioni 30, na kushawishi na kupokea rushwa TZS milioni 30.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad