Mwanamuziki @officialnandy ameonyesha kufurahishwa na tukio la #harmonize na #kajala Jana kuvishana pete usiku wa jana.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, amewapongeza wawili hao na kuandika "Aaaaaaw🥰 love birds! hongereni sana kwa hatua impendezayo Mungu na mkawe na furaha milele."