Mwijaku Alia Kupunguzwa na Harmonize Kama Chawa Kisa Ujio wa Kajala, Amtabiria Mabaya

 


D wa Insta na Kipenzi cha Watanzania, Mwijaku amedai ujio wa Kajala kama Meneja wa Harmonize unaenda kumuangusha kimuziki msanii huyo, Ni vema mapenzi yangebaki kama mapenzi na sio kupeana hadi majukumu ya kazi.


Kingine Mwijaku amedai ujio wa Kajala kwa Harmonize, unafanya baadhi ya watu kama yeye (Mwijaku) kupunguzwa, haingii tena ndani kama zamani,anaishia kwenye kibanda cha mlinzi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad