Mwimbaji Nyota wa Muziki wa kizazi Kipya Abby Chams Asainiwa Sony Music Africa


Mwimbaji nyota wa muziki wa kizazi kipya Abby Chams akaribishwa rasmi kwenye record label ya Sony Music Africa baada ya kusainishwa mkataba ambapo kuanzia sasa atakuwa akifanya kazi chini ya usimamizi wa label hiyo kubwa na maarufu ulimwenguni.


Neno moja la pongezi kwa #Abby kwa hatua kubwa aliyoipiga kwenye muziki wake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad