Poshy Queen Aeleza Chanzo cha Kuachana na Mumewe "Hatukujuana"



Mrembo Poshy Queen anasema chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake na aliyekuwa mumewe na baba moto wake John kutoka Nigeria zimesabishwa na changamoto za mahusiano.

"Kwenye mahusiano hamuwezi kwenda sawa kila siku, sisi hatuku-date muda mrefu kwa sababu tulioana mapema, labda hatukujuana hatukukaa pamoja na vitu vingine vya kawaida" amesema Poshy Queen

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad