Prisons Yaionyesha SIMBA cha Mtema Kuni....Yaitungua Kimoja Cha Hamu

 


Timu ya Tanzania Prisons imerejesha matumaini ya kubaki katika Ligi Kuu Bara baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Simba, kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, leo Juni 26, 2022


Goli la Benjamin Asukile limeifanya Prisons kufikisha pointi 29 na kutoka nafasi ya 15 hadi ya 14 wakati Simba imeendelea kubaki nafasi ya pili katika ligi hiyo


Timu ambazo zitashuka daraja moja kwa moja ni zile mbili za mwisho katika Msimamo wa Ligi hiyo wenye timu 16

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad