Simba Wafunguka Kuhusu Kocha MPYA...Msemaji Ataja Siku Muda wa Kumtambulisha

 


Afisa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmedy Ally, ameeleza kuwa mchakato wa kumpata kocha mpya utakamilika ndani ya wiki hii.

Ahmedy ameyasema hayo leo kupitia ukurasa wake wa instagram.

"Mchakato wa kumpata kocha mpya utakamilika muda wowote ndani ya wiki hii.

"Kuhusu usajili msiwe na shaka la moyo tunafanya usajili wa malengo tutaemtaka atakuja simba na tunaemtaka atabaki simba.

"Mwisho kabisa niwaombe wana Simba tushikamane tumalize kwa pamoja mechi 5 za Ligi Kuu zilizosalia".

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad