TETESI ZA USAJILI:Wakala wa Djuma Shabaan na Yannick Bangala Kutua Nchini


TETESI ZA USAJILI:Wakala wa Djuma Shabaan na Yannick Bangala atawasili nchini kwa ndege ya mchana leo akitokea Congo kwa ajili ya mazungumzo ya kuongeza mikataba ya wachezaji wake

Walisaini miaka miwili na sasa umesalia mmoja,hivyo wanataka kuongezewa miwili tena

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad