Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania Yafudhu Fainali za Kombe la Dunia


FULL TIME: #U17WWCQ

🏟️ Amaan, Zanzibar

TANZANIA 🇹🇿 1-0 🇨🇲 CAMEROON (Agg 5-1)
⚽️ Neema Paul

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania kwa umri chini ya miaka 17 imefuzu fainali za kombe la Dunia na kuungana na Morocco na Nigeria kuwakilisha bara la Afrika kwenye fainali itakayopigwa kuanzia Oktoba 11 hadi 30 mwaka huu nchini India.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad