"Ubaba si kuzaa tu, Ubaba Kulea! Kongole kwa wababa wote wanaolea

 


Humphrey Polepole Balaozi wa Malawi anayeiwakilisha Tanzania, kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika ujumbe kuhusiana na siku ya Baba Duniani.

Balozi Polepole Ameandika..✍️

"Ubaba si kuzaa tu, Ubaba Kulea! Kongole kwa wababa wote wanaolea. Happy Fathers Day! Baba Kuzaa na kutokulea ni uhuni! Kazi ni Moja, Kuchapa kazi #kataawahuni"

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad