Wanigeria Watawala Nominees Tuzo za BET, Africa Mashariki Mmoja tu Aingia


Ni June 26,2022 pale Microsoft Theater jijini Los Angeles watajulikana washindi wa tuzo za BET kwa mwaka huu baada ya board ya tuzo hizo kutoa list ya nominees huku Doja Cat akiwa ndiye msanii aliyetokea kwenye vipengele vingi zaidi.

Kwa Afrika, Nigeria wametawala,list ikiwa na wasanii kama Wizkid,Tems na Fireboy, huku Afrika mashariki ikiwakilishwa na Fally Ipupa pekee.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad