Zimwi la Kim Kardashian Laendelea Kumtesa Kanye West, Aachana Tena na Mpenzi Wake Mpya


West na mpenzi wake mpya Chaney Jones wameachana, imethibitisha tovuti ya TMZ muda mchache uliopita. Wawili hao wamefikia ukomo wa penzi baada ya ziara ndefu nchini Japan.

Hakuna taarifa za yupi aliyempiga chini mwenzie lakini taarifa hizi zinakuja ikiwa ni siku chache baada ya kuonekana picha ya Kanye West akicheki movie na mwanamke mwingine. YE na Chaney walianza kuonekana hadharani mwezi Februari mwaka huu na tayari mwanadada alishachora Tattoo yenye jina ‘YE’ mkononi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad