Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima Amehamishiwa Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza


Rais Samia amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa Wapya 9 na kuwahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa 7 na wengine 10 kubakia kwenye nafasi zao ambapo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akichukua nafasi ya Mhandisi Robert Gabriel…. 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad