Baba Levo "Siwezi Mshambulia Rayvanny Kwa Sasa, Nitapambana Nae Atakapoanza Mzengua Diamond Platnumz"


Baada ya Rayvanny kuweka wazi kuondoka WCB rasmi hii leo July 12, Official Chawa wa Diamond Platnumz, @officialbabalevo alitumia ukurasa wake wa Instagram kumuaga kistaarabu Rayvanny kitu ambacho uwenda watu wengi kimewashangaza.


Kwenye ufafanuzi wa Post yake hiyo, Baba Levo amesema hawezi mshambulia Rayvanny wakati ameondoka kistaarabu WCB, ameaga kwa heshima na kulipa mpunga wote wa kuvunja mkataba, Pia Fundi majumba ameongeza kuwa kabla ya Rayvanny kuweka wazi kuachana na WCB, wao wawili walikaa kujadili suala hilo kwenda public.


B Levo amedai ataanza kupambana na Rayvanny, pale tu atapoanza kumvimbia Diamond Platnumz.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad