Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni




 
BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi kukazia hukumu akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF lenye namba za usajili T581 CGR liuzwe ili kulipa deni hilo.

Taasisi hiyo inaidai TFF fedha hizo kwa miaka mitatu ambazo kwa mujibu wa Tarimo zilikuwa ni gharama ya kambi kwa timu za vijana chini ya miaka 13, 15, 17 na

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad