BREAKING: Rais Samia Amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro kuwa Balozi nchini Zimbabwe


BREAKING Rais Samia amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe huku nafasi yake ikichukuliwa na Camilius Wambura aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jina

BREAKING Rais Samia Amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro kuwa Balozi nchini Zimbabwe
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad