Diamond athibitisha kununua Ndege binafsi Private Jet




Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya WCB Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa ameshanunua Ndege yake yaani Private Jet.

Akiongea na DW akiwa nchini Ujerumani Diamond amesema kuwa tayari ameshanunu Ndege ambayo aliwahi kuizungumzia miaka kadhaa sasa na pia meneja wake Sallam Sk ameweka wazi kuwa licha ya Ndege hiyo kununuliwa na Diamond pia itakuwa inatumika kukodishwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad