Fahyma "Kim Kardashian Ananiiga Mimi Kuvaa"


Fahyma; ni mwanamitindo na baby mama wa msanii wa Bongo Fleva, Rayvanny au Chui ambaye amekuwa akikopi na kupesti mavazi ya mastaa wakubwa duniani kama Beyonce, Rihanna, Kim Kardashian na wanamitindo wengine wengi.


Lakini safari hii amekuja kitofauti baada ya kuposti picha yake akiunganisha na ya Kim Kardashian wote wakiwa na nywele ndefu hadi chini kisha akasema; “Usicheze na Fahyma wewe, Kim kavaa juzi, mimi style hiyo nilivaa mwaka juzi, long hair babe, kifupi Kim katuiga jamani…”


Baada ya kusema hivyo, mwanamama Esma Platnumz akamuuliza Fahyma; “Kwa hiyo Kim kakuiga siyo?”


Fahyma akamjibu; “Ndiyo mummy…”

Cc; @sifaelpaul

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad