Haji Manara "Nifungwe Miaka Kumi Endapo Tume Huru Ikidhibitisha Nilimtusi Rais TFF"




Msemaji maarufu wa klabu ya Yanga Haji Manara ameiomba serikali kuunda tume huru ya kuchunguza sakata lililotokea baina yake na Rais wa TFF Wallace Karia mnamo Julai 2,2022 kwenye mchezo wa fainali ya michuano ya FA (ASFC) 2021/22.

“Niombe serikali iangalie kitu gani cha kufanya ili kutengeneza usawa kwenye mpira wetu (standards),na iwapo ikibainika nipo radhi kufungiwa hata miaka 10 jela kutojishughulisha na mpira” amesema Haji Manara

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad