Web

Hatimaye Msuva Atimkia Saudi Arabia Kujiunga na Timu ya Daraja la Pili


Winga nyota wa Tanzania Simon Msuva amekamilisha mipango ya kujiunga na timu ya daraja la pili ya AL-QADSIAH.

Tayari leo amefanyiwa vipimo vya Afya na vimekwenda vyema.

Msuva ambaye alivunja mkataba na miamba ya soka ya Morocco Wydad Casablanca anaanza maisha mapya ya soka Saudi Arabia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad