Kamishna Liberatus Sabas, mkuu wa oparesheni na mafunzo wa jeshi la polisi Tanzania, ametoa taarifa kwa wanahabari na ameeleza kukamatwa kwa mtuhumiwa anayedaiwa kuua watu saba wa familia moja Kigoma.
Sabas amesema kuwa watu wanaangalia wingi wa watu waliokufa lakini, kupitia ushahidi jeshi la polisi wanauhakika mtuhumiwa huyo ndiye aliyehusika katika vifo vya watu wote hao.