HomeMichezoHimid Mao aipeleka Ghazl El Mahallah fainali Himid Mao aipeleka Ghazl El Mahallah fainali 0 Udaku Special July 05, 2022 Mtangazaji wa mechi za Ligi Kuu Misri Muhammad El Shazly ameonekana kuguswa na kiwango cha kiungo wa Tanzania Himid Mao anayecheza Ghazl El Mahallah ya Ligi Kuu Misri kuwa hapewi heshima anayostahili kwa kiwango chake bora. Tags Michezo Newer Older