Injinia Hersi Said ashinda Urais Yanga kwa kishindo



Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi wa Yanga Malangwe Mchungahela amethibitisha kuwa injinia Hersi Ally Said ndio Rais wa club ya Yanga SC hiyo ni baada ya wajumbe kupiga kura za ndio.

Kwa mujibu wa katiba ya TFF mgombe wa nafasi yoyote akiwa mmoja basi wajumbe huulizwa kama wanakubaliana waseme ndio na kama hawakubaliani waseme hapana hapa JNICC ndio zimekuwa nyingi hivyo amepita.

Hersi anaandika rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka mfumo mpya wa mabadiliko uanza na sasa atakuwa madarakani kwa miaka 8 kwa mujibu wa katiba 2030.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad