Kajala Masanja Yupo Tayari Kuolewa na Harmonize


Maimartha Jesse; ni mtangazaji wa kitambo Bongo ambaye anasema ana habari za ndani kabisa kuhusu kapo ya muigizaji Kajala Masanja @kajalafrida na Harmonize @harmonize_tz .

Mai anasema kuwa, taarifa alizonazo ni kwamba, Kajala yupo tayari kabisa kumzalia Harmonize pamoja na kwamba watu wanasema umri umeenda.

Mai anasema; “Baada ya pete sasa wanaoana na Mungu akipenda Kajala yupo tayari kumzalia Harmonize…”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad