Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Meneja wa Habari Simba Ahmed Ally Ampigia Debe Mgombea wa Yanga


Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Meneja wa Habari Simba Ahmed Ally amempigia debe mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais Yanga SC, Suma Mwaitenda.

Kupitia Instagram Ahmed Ally ameandika:

“Rafiki yangu binafsi @SumaMwaitenda anahitaji ridhaa kubwa ya kuwa makamu wa Rais h

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad