Kenya: Anayedai Kuwa Mtoto wa Hayati Kubaki Ajitokeza na Kufungua Keshi Apate Urithi



Jacob Ochola, (62) anayedai kuwa Mtoto wa kwanza wa Rais Mwai Kibaki, amefungua shauri la kutaka kutambuliwa na familia ya Hayati huyo kama Mwanafamilia na sehemu ya Warithi

Katika shauri hilo #Ochola anaitaka Mahakama kuwashurutisha Watoto wa Mwai Kibaki kuweka wazi iwapo jina lake lilijumuishwa katika wosia anaodai uliandaliwa na Baba yao

Aidha, ameitaka Mahakama kuamua atakayeteuliwa Msimamizi wa Mali na kutaka mchakato wa ugawaji wa mali hizo uanze haraka iwezekanavyo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad