Klabu ya Simba imefanikiwa kuifunga timu ya Al-Okhdood Club ya Nchini Misri Mabao 6 Bila



Klabu ya Simba imefanikiwa kuifunga timu ya Al-Okhdood Club ya Nchini Misri kwa jumla ya magoli 6-0 mchezo iliyopigwa leo Julai 23.

Simba imeondoka na ushindi huo mnono ukiwa ni mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Hii ni mechi ya pili Simba SC inapata ushindi ikiwa Pre Season nchini Misri huku Mshambuliaji wake mpya Moses Phiri akitupia michezo yote miwili.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad