Makubwa..Anunua Ice Cream ya Kopo na Kukuta Chura Ameganda


Mdada kwa jina la Tracy ameenda kununua Ice cream dukani lakini baada ya kufungua bakuli husika ndio akakutana na mauzauza hayo chura huyo akiwa ameganda kwenye Ice cream

Amesema inavyoonekana hata duka husika nao walipewa hivyo toka kiwandani kwani Ice cream ilikuwa imefungwa vizuri haikuonesha kufunguliwa

Amesema atairudisha duka husika aliponunua ingawa anahisi wanaweza wasimuamini kuhusu chura hilo lililoganda kwenye Ice cream hiyo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad