MC Gara B "Harmonize, Kajala Wasipite Miezi Mitano Hawajaoana"


Mshereheshaji wa shughuli za mastaa na watu mbalimbali MC Garab amesema pete ya uchumba ya Harmonize na Kajalafrida isipite zaidi ya miezi mitano wawe wameshaona.


MC Garab ameeleza hilo baada ya wachumba wakishavalishana pete hukaa muda mrefu bila ya kufunga ndoa mpaka pete kuozea kidoleni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad