Movie ya Black Panther Wakanda Forever Kuachiwa November 11 2022

 


Kwa wale wapenzi wa movie, good news kwao ni kwamba wakae tayari kwa sehemu ya pili ya movie iliyopata mafanikio makubwa duniani na kupendwa na watu wengi #BlackPanther: Wakanda Forever ,ambayo rasmi wameachia trailer yake huku yenyewe ikitarajwa kuachiwa Nov 11/2022, nmbila ya uwepo wa Chadwick Boseman (black panther) aliyefariki dunia August 28/2020.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad