Mungu Amlinde Mwanamuziki Lulu Diva Katika Kipindi Hichi Kigumu Anachopitia
0
July 08, 2022
Hata tukiendelea Kumshangaa na kumlaumu Lulu Diva haitasaidia chochote, cha msingi Mungu ampe maisha marefu na roho ya uvumilivu kwa kile anachokipitia kipindi hiki baada ya kuchafuliwa na kundi la watu wasiomtakia mema mwanamke mpambanaji kama yeye. Awe na moyo wa uvumilivu kwenye mafanikio vikwazo havikosi.
Tags